Na Felix Mwagara, MOHA-Katavi
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoani Katavi, kuwahamisha askari wote wa Kituo cha Polisi Majimoto kutokana na tuhuma mbalimbali zinazowakabili askari hao.
Waziri Lugola alitoa agizo hilo jana kwenye mkutano wa hadhara uliohudhuriwa...
Monday, 30 September 2019
WAMILIKI WA MAKANISA,BAA NA KUMBI ZA STAREHE WANAOPIGA 'MUZIKI MNENE' WAPEWA ONYO KAHAMA

Mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha
Na Salvatory Ntandu - Malunde 1 blog
Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imetoa onyo kwa wamiliki wa baa na kumbi za starehe za usiku ambazo zipo katikati ya makazi ya watu ambazo zinapiga muziki kwa sauti ya juu sambamba na kuzifungia kwa kukiuka sheria...
LUGOLA AAGIZA ASKARI WOTE WA KITUO CHA MAJIMOTO WAHAMISHWE.... WANANCHI WATAKA MKUU WA KITUO ABAKI

Na Adelina Ernest - Malunde 1 blog
Waziri wa mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola ametoa siku saba kwa Polisi Mkoa wa Katavi kuwahamisha askari wote wa kituo cha Polisi Majimoto kwa madai kushindwa kushugulikia kutatua kero za wananchi pamoja na kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Lugola alitoa...
TMDA YAENDESHA MAFUNZO YA SIKU TANO KWA WAKAGUZI WA DAWA WA MKOA WA PWANI

Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA) inaendesha mafunzo maalum ya siku tano kwa wakaguzi wa dawa wa Halmashauri za Mkoa wa Pwani yanayoendana na kuzingatia maadili, uweledi pamoja na uelewa wa kanuni na sheria ikiwemo suala la usimamizi wa dawa zenye asili ya kulevya ili kuhakikisha...
RAIS MAGUFULI : NIMEONGEZA SIKU 7 TENA ZA KUOMBA MSAMAHA KWA WAHUJUMU UCHUMI..SIFANYI KAZI YA KITOTO WASIDANGANYWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, ameongeza siku 7 zingine kwa watuhumiwa wa makosa ya Uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha, kuendelea kuwasilisha maombi ya kuomba radhi kwa Mkurugenzi wa mashtaka (DPP),ili waweze kusamehewa na kuachiwa huru.
Maamuzi hayo ameyatoa...
Waziri Mkuu Kuanza Ziara Ya Kikazi Ya Siku Tatu Mkoani Singida
Na Dotto Mwaibale, Singida
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Singida na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Rehema Nchimbi alisema ziara hiyo ataianza Oktoba 4, 2019...
SCHOLARSHIP TENABLE IN KOREA AT THE ACADEMY OF KOREAN STUDIES STARTING FROM MARCH 2020
1.0 Call for Application The General Public is hereby informed that, the Academy of Korean Studies has granted a Scholarship programme to eligible Tanzanian Nationals to pursue Masters and Doctoral Degree programs at the Academy of Korean in the Republic of South Korea in the academic year 2019/2020. For further information visit the following link htt://intl.aks.ac.kr/english (AKS in… Read More...
WIZARA YA ELIMU: SCHOLARSHIP FOR 2020 GLOBAL KOREA SCHOLARSHIP (GKS) FOR UNDERGRADUATE DEGREE
WIZARA YA ELIMU: SCHOLARSHIP FOR 2020 GLOBAL KOREA SCHOLARSHIP (GKS) FOR UNDERGRADUATE DEGREE 1.0 Call for Application The general public is hereby informed that, the National Institute for International Education (NIIED) under the Ministry of Education of the Republic of Korea is offering undergraduate study opportunity to a Tanzanian citizen for 2020 Undergraduate Global Korea Scholarship (GKS)....
Rais Magufuli Atoa Tahadhari Kwa Watuhumiwa Wa Uhujumu Uchumi

Rais John Magufuli amewataka watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi walioagizwa kuwasilisha barua zao za kuomba msamaha katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuepukana na dhana ya kuwa msamaha huo ni wa uongo kwakuwa yeye ameutoa kwa dhati na kwamba hawezi kufanya hivyo kwa lengo la kuwatega.
Ametoa...
Wawekezaji Watakiwa Kuyaongezea Thamani Maziwa Kufikia Soko La Nje Ya Nchi

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel amekutana na wawekezaji kutoka Jamhuri ya Ireland wenye nia ya kuwekeza katika sekta ya maziwa hapa nchini na kuwataka kuangalia zaidi mnyororo wa thamani wa namna ya kuyaongezea thamani maziwa ili kupanua zaidi...
Mafunzo Ya Wataalamu Wa Kilimo Kufanikisha Malengo Ya ASDP II

Na Ismail Ngayonga-MAELEZO
SEKTA ya Kilimo imeendelea kuwa ni Sekta muhimu katika maendeleo ya uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla hususan katika kipindi hiki tunapojizatiti kufikia uchumi wa viwanda ifikapo mwaka 2025.
Kilimo kimeendelea kuimarika na hivyo kuchangia asilimia 30.1 katika Pato...
Rais Magufuli aongeza siku saba watuhumiwa uhujumu uchumi kutubu

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga amesema ofisi yake imepokea barua za watuhumiwa 467 wanaoomba kukiri makosa ya uhujumu uchumi na wapo tayari kurudisha fedha jumla ya Shilingi 107.8 Bilioni.
Akiwasilisha taarifa yake leo Jumatatu Septemba 30, 2019 Ikulu jijini Dar es Salaam nchini...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Amkalia Kooni Mkandarasi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga, amemtaka mkandarasi anayejenga barabara ya Chunya -Makongolosi kwa kiwango cha lami kuhakikisha anamaliza mradi huo ndani ya muda wa mkataba na si vinginevyo.
Aidha, ameongeza kuwa hatamuongezea mkandarasi...
Waziri Simbachawene Ahimiza Matumizi Ya Nishati Mbadala Kupikia Ili Kuhifadhi Mazingira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amehimiza matumizi ya nishati mbadala kupikia ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira unaotokana na ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa.
Mhe. Simbachawene ametoa rai hiyo wakati akihutubia wanafunzi na wananchi...
NAIBU WAZIRI MGUMBA AWATAKA WALIMU NCHINI WAACHE KUTUMIA KILIMO KAMA ADHABU YA KUWAPA WANAFUNZI
NAIBU Waziri wa Kilimo Omari Mgumba akizungumza na watumishi wa Halamashauri ya wilaya ya Pangani wakati wa ziara yake kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji na Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah
Mbunge wa Jimbo la...