Monday, 8 April 2019

MFUKO WA BIMA YA TAIFA ULIVYOSHIRIKI KUTOA HUDUMA KWA WANA MICHEZO KUMBUKUMBU YA SOKOINE

...

Wanamichezo wakipewa huduma ya vipimo katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) wakati wa mashindano ya kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha. 
Wanamichezo wakipewa huduma ya vipimo katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya  Afya(NHIF) wakati mashindano ya kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha. 
Mmoja wa wanamichezo akipimwa urefu na huduma nyingine za huduma ya afya katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya 
Afya(NHIF) wakati mashindano ya kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha.
Mfuko wa Taifa wa Bima ya  Afya(NHIF) ukitoa huduma za vipimo vya afya wakati mashindano ya kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha. 

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya  Afya(NHIF),mkoa wa Arusha,Isaya Shekifu akifurahia baada ya kumalizia mbio za kilometa tano wakati mashindano ya kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha. 

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger