Habari zilizotufika hivi punde zinasema Askari Polisi (pichani) jina halijafahamika wa kituo cha Polisi Mjini Kahama mkoa wa Shinyanga amejipiga risasi kichwani na kufariki dunia papo hapo asubuhi wakati akiwa kwenye lindo katika benki ya Access mjini Kahama.
Haijajulikana mara moja sababu za askari polisi huyo kuchukua maamuzi hayo.
Haijajulikana mara moja sababu za askari polisi huyo kuchukua maamuzi hayo.
Taarifa Rasmi kuhusu tukio hili tutakuletea hivi punde...
0 comments:
Post a Comment