Na Amiri kilagalila Zaidi ya wafanyabiashara 1000 halmashauri ya mji wa Njombe wanategemea kupata fursa ya vibanda katika jengo jipya na la kisasa linalojengwa mjini Njombe. Akizungumza na waandishi wa habari katika eneo linalojengwa soko hilo,mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe Edwirn Mwanzinga amesema soko hilo litakalo kuwa na ghorofa moja linaweza kuchukuwa miezi nane kukamilika kutokana na mda aliopewa mkandarasi wa soko hilo huku gharama ya ujenzi huo ikiwa ni zaidi ya shilingi bilioni 9 ya fedha za mkopo kutoka benk ya dunia. “huu mradi tumeanza nao mwezi…
0 comments:
Post a Comment