Tuesday, 19 February 2019

ZAHANATI YA KINYEREZI KUPANDISHWA HADHI KUWA KITUO CHA AFYA

...
Na Heri Shaban Manispaa ya Ilala inatarajia kupandisha hadhi zahanati ya Kata ya Kinyerezi kuwa kituo cha Afya kutokana na kuongezeka idadi wagonjwa wanaopewa huduma Hayo yalisemwa Dar es salaam Jana Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Jumanne Shauri wakati wa kupokea msaada wa Vifaa vya Zahanati ya Kata hiyo vilivyotolewa na Benki ya NMB. “Kutokana na kupokea idadi kubwa ya wagonjwa zahanati ya Kata hii na kuonyesha mafanikio mazuri Manispaa yangu ya Ilala tutaipanua majengo yaliopo eneo ili na kujenga majengo mengine ili iweze kuitwa Kituo cha Afya.”alisema Shauri Shauri…

Source

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger