Thursday, 21 February 2019

YANGA BAADA YA MWANZA SASA KITUO KINACHO FUATA NI LINDI

...
Na Shabani Rapwi. Kikosi cha klabu ya Yanga SC leo Alhamis, February 21, 2019 asubuh kimeanza safari ya kurejea Jijini Dar es Salaam, baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Mbao FC na kupata ushindi wa 2-1, mchezo uliochezwa CCM Kirumba, Mwanza. Ushindi huo unawafanya Yanga SC kuendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa na alama 61 baada ya kucheza michezo 25, nyuma ya Azam FC wenye alama 50 wakiwa wamecheza michezo 24. Baada ya mchezo huo dhidi ya Mbao…

Source

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger