Na mwandishi wetu Dodoma Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) za septemba, 2018 zinaonyesha ongezeko kubwa la watumiaji wa mtandao wa intaneti ambapo watumiaji wa mtandao wa intaneti wanakadiriwa kuwa takribani milioni 23 sawa na asilimia 45% ya watanzania ikilinganisha na watumiaji milioni 7.5 sawa na aslimia 17% mwaka 2012. Hayo yamesemwa na Waziri wa ujenzi , uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Isack kamwelwe Jijini Dodoma, wakati akisoma hotuba kwa Niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Hasan, katika ufungunzi wa Kongamano la waraghabishi…
0 comments:
Post a Comment