Naibu waziri sera,Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu ,Ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Antoy Peter Mavunde amesema kuwa asilimia kubwa ya wakina mama wanapata tabu wakati wa kujifungua kwa kukosa vifaa muhimu . Mavunde ameyasema hayo katika kituo cha afya cha makole kilichopo Jijini Dodoma, wakati akikabidhi Msaada katika kituo hicho ikiwa ni kuonesha upendo kwa wakina mama wajawazito wanao kwenda kujifungua na ikiwa ni siku ya wapenda nao, hivyo ameamua kutenga siku hiyo kwaajili ya kuwasaidia kutokana na changamoto kubwa ambazo zimekuwa zikiwakabili…
0 comments:
Post a Comment