Wednesday, 20 February 2019

TANZIA:MENEJA MAWASILIANO TFS AFARIKI DUNIA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

...
Meneja mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), Glory Mziray kufariki dunia jana mchana Jumanne Februari 19, 2019.Glory amefikwa na umauti wakati akizungumza na waandishi wa habari.  Hali yake ilibadilika ghafla muda mfupi baada ya kumaliza kusoma taarifa ya TFS kuhusu upandishaji hadhi wa misitu. Inaelezwa kuwa meneja huyo alizungumza kwa uchangamfu na alipomaliza alionekana kama kuishiwa nguvu na kupoteza fahamu. Alikimbizwa katika kituo cha Afya TMJ kilichopo Chang’ombe kwa ajili ya matibabu. Baada ya kumfanyia uchunguzi madaktari wakaeleza kuwa Glory amefariki dunia kabla ya kufikishwa hospitalini hapo. Mtendaji…

Source

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger