Shirika la Umeme nchini, TANESCO Mkoa wa Songwe limepewa siku tatu kuandaa mkakati utakaoelezea namna ya kumaliza matatizo ya umeme ikiwemo katizo la mara kwa mara la umeme na tatizo la kiwango kidogo cha umeme. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela ametoa agizo hilo mapema leo asubuhi alipofika ofisi za TANESCO Songwe kufuatia kukatika mara kwa mara kwa umeme na pia kila siku ya Jumamosi ambapo alimtaka Meneja wa shirika hilo kueleza mkakati wa kumaliza tatizo hilo. “Nimekuja hapa kwakuwa naona sasa tunageuka makubaliano ya kukata…
0 comments:
Post a Comment