Thursday, 21 February 2019

SUGU AACHIWA KWA DHAMANA POLISI

...


Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Mhe. Joseph Mbilinyi 'Sugu' ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi jioni, Mbunge huyo alishikiliwa tangu majira ya saa 1 asubuhi leo hii alhamisi tarehe 21 Februari, 2019 kwa kosa la kuongea na wananchi wake ambao walilalamika kuhusiana na changamoto ya vitambulisho vya wamachinga na Mbunge kuwaahidi kuwa atapeleka suala lao Bungeni, Mbunge Sugu ametakiwa kuripoti tena Polisi Siku ya kesho Ijumaa, muda wa Saa 4 asubuhi.

Habari - CHADEMA 

Kanda ya Nyasa
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger