Friday, 22 February 2019

SERIKALI KURASIMISHA UJUZI KWA MAFUNDI ZAIDI YA 10,000 NCHINI KUTUMIA PROGRAMU YA MFUMO WA UTAMBUZI NA URASIMISHAJI UJUZI(RPL)

...
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira katika utekelezaji wa programu ya RPL imedhamiria,katika awamu ya kwanza, kuwafikia na kurasimisha ujuzi kwa takribani watanzania 10,000 kwa Mwaka 2019/2020. Hayo yamesemwa leo katika ukumbi wa Royal Tughimbe jijini Mbeya na Naibu Wziri Ofisi ya Waziri mkuu kazi,vijana na ajira mh Anthony Mavunde, wakati akifungua kongamano la mafundi wa Mkoani Mbeya,ambapo alibainisha kwamba serikali inatekekeleza programu ya kurasimisha ujuzi kwa watu wenye ujuzi lakini ambao hawajapitia katika mfumo rasmi wa mafunzo ya ufundi kwa kuwapatia vyeti vya Ufundi pasipo wao kusoma chuo…

Source

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger