Kundi la watu wasiofahamika wamembaka na kumlawiti hadi kufa mwanamke mmoja (35) jina limehifadhiwa mkazi wa kijiji cha Kimana kata ya Pori kwa pori wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara kisha mwili kutelekezwa kichakani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara , Agustino Senga , amesema tukio hilo limetokea Februari 12,2019 ambapo mbinu waliyoitumikia watu hao ni kumpeleka marehemu kichakani na kumbaka na kumlawiti katika harakati za kumziba mdomo asipige kelele ilisababisha kukosa pumzi na kufariki dunia. Ameongeza kuwa kiini cha tukio hilo ni tama za kimwili. Kamanda Senga amesema kutokana…
0 comments:
Post a Comment