Na.mwandishi wetu Mafinga Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi amekabidhi Magari mawili Idara ya elimu Halmashauri ya Mji Mafinga kwa lengo la kuongeza nguvu ya ufuatiliaji wa masuala ya elimu ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi Jimbo la Mafinga mjini. Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika katika viwanja vya Teachers Resource Centre (TRC Mafinga) wakati wa mkutano wa tathimini ya Elimu kwa Halmashauri ya Mji Mafinga ambapo umewakutanisha takribani waalimu wakuu wa shule zote za Sekondari na Msingi, Maafisa Elmu kata, Wilaya na Wataalamu wengine wote wa Sekta ya…
0 comments:
Post a Comment