Wednesday, 20 February 2019

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI IRAMBA MKOANI SINGIDA

...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo na leo amefanya ziara katika wilaya ya Iramba mkoani Singida. Katika Wilaya ya Iramba Makamu wa Rais alitembelea kiwanda cha muwekezaji mzawa cha kusindika alizeti cha Yaza klichopo Ndago, pia alitembelea kituo cha afya cha Kinampanda na kujionea maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho pamoja na maboresho na ukarabati uliofanywa kwenye chuo cha Ualimu Kinampanda. Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ndago, Makamu wa Rais wa…

Source

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger