Wednesday, 20 February 2019

MABAHARIA "ORIGINAL" WALIA JINA LAO KUTUMIKA KIHUNI

...


Chama cha mabaharia nchini kimeitaka jamii kuondokana na dhana potofu za kuonekana mabaharia ni wahuni na badala yake waiheshimu taaluma hiyo kama zingine.

Akizungumza na Habari xtra ofisini kwake mwenyekiti wa Chama hicho Frank Chuma amesema kutokana na jina lao kutumika vibaya miongoni mwa Vijana hali hiyo imesababisha taaluma yao kukosa heshima pindi wanapokwenda katika taasisi nyingine kutafuta huduma. 

Mwenyekiti huyo amesemabado wanakabiliwa na changamoto ikiwemo kutokupata ajira na kanuni zilizopo katika kazi hiyo kuwa kandamizi.

Chanzo -Times fm
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger