Na Heri Shaban MKUU wa wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema amewataka watendaji wa Manispaa ya Ilala kufanya kazi kwa bidii na weledi ili kuwaletea maendeleo wananchi wa Ilala. Mjema aliyasema hayo jana jijini Dar es salaam katika kikao cha kuwasilisha taarifa ya utekekezaji wa Ilani cha chama cha Mapinduzi CCM kuanzia Januari 2018 hadi Disemba 2018. “Dhamana tulizopewa siyo kwa ajili yetu bali ni kwa ajili ya wananchi. Rais wetu ana matumaini makubwa kutoka kwetu kwamba tutawajibika katika majukumu yetu ili kuleta maendeleleo na kuifikia ndoto yake ya kuinua…
0 comments:
Post a Comment