Tuesday, 19 February 2019

BREAKING NEWS: MKURUGENZI PSSSF ATENGULIWA

...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Februari, 2019 amemteua Hosea Ezekiel Kashimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (Public Service Social Security Fund – PSSSF). Kashimba anachukua nafasi ya Eliud Sanga ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Source

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger