SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE
OFISI YA MAKAMU WA MAKAMU MKUU WA CHUO
TAALUMA (SUA) 14 JULAI, 2016
UHAKIKI KWA WANAFUNZI WA SUA
WANAOPATA UFADHILI TOKA
BODI YA MKOPO KWA WANAFUNZI WOTE:
NAPENDA
KUWATAARIFU KUWA UHAKIKI ULIOFANYIKA SUA UMEONESHA KUNA WANUFAIKA 388 TOKA SUA
KATIKA MWAKA WA MASOMO 2015/16 AMBAO HAWAJAJITOKEZA KUHAKIKIWA KATIKA CHUO
CHETU.
HIVYO WIZARA
YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI PAMOJA NA BODI YA MIKOPO YA
WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU ZINAWATAKA WANAFUNZI WOTE AMBAO HAWAKUJITOKEZA
KUHAKIKIWA WAJITOKEZE KUHAKIKIWA TAREHE 18 JULAI 2016 BILA KUKOSA. UHAKIKI
UTAANZA SAA 2:00 ASUBUHI MPAKA SAA 10:00 JIONI. UHAKIKI HUU UTAFANYIKA UKUMBI
WA BARAZA LA CHUO ULIOPO JENGO LA
UTAWALA.
WANAFUNZI
WATATAKIWA KUJA NA KITAMBULISHO CHA CHUO
NA KITAMBULISHO KINGINE KINACHOTAMBULIKA KITAIFA NA CHENYE PICHA YAKE.
KUTOKUTOKEA KATIKA ZOEZI HILI LA UHAKIKI KUTASABABISHA MWANAFUNZI HUSIKA
KUFUTIWA UFADHILI WA MKOPO TOKA SERIKALINI.
Prof.
P.R. Gillah
NAIBU MAKAMU WA MKUU WA CHUO
(TAALUMA)
Nakala kwa: Mshauri
wa Wanafunzi “ “ Rais wa Wanafunzi, SUA
“ “ Wawakilishi wa Madarasa Yote
0 comments:
Post a Comment