Saturday, 31 May 2014

HATIMAE SUA WASAINI BOOM-INJINIA WAONGOZA JAHAZI WENGINE WAFATA

HATIMAE WANAFUNZI WA SUA WAFURAHI BAADA YA KILIO CHA MDA MREFU KUHUSU KUSAINI BOOM LAO(FEDHA YA CHAKULA NA HOSTEL) HILO NIMELISHUHUDIA LEO ASUBUHI MAENEO YA MULTIPURPOSE SUA AMBAPO NILIKUTA WATU WAKIWA KWENYE FOLENI YA KUSAINI. PONGEZI ZA DHATI ZIMWENDEE AFISA MIKOPO WA CHUO HICHO KWA KUPIGA KUFAKUPONA HADI ALIPOPATA MAJINA HAYA. ANGALIA PICHA CHINI KWA MATUKIO ZAIDI ILIVYOKUWA LEO A...
Share:

Breaking News:Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni Baada ya CCM Kuilinda Wizara ya Nishati na Madini

Jioni hii katika bunge la Bajeti Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya Upinzani kutoka Bungeni kwa kila anachodai wabunge wa CCM wanajaribu kuficha uovu wa...
Share:

Hivi Toka Sugu Amekua Mbunge ni Kitu Gani Alishawahi Kuwafanyia Wasanii wa Taifa Hili?

Msanii wa Leka Dutigite, Linex Sunday Mjeda amefunguka na kudai kuwa hajaona mchango wa mbunge Joseph Mbilinyi aka Sugu kwa wasanii wa muziki......
Share:

KUMRADHI PICHA ZINATISHA SANA: DEREVA BODABODA AUAWA KIKATILI NA MAJAMBAZI KWA KUCHINJWA SHINGO...FUNGUA HAPA.

Picha jinsi alivyochinjwaJeshi la Polisi Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuuwa dereva Bodaboda mmoja aitwaye Frenk Joseph (25)mkazi wa mtaa wa Nsemlwa Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi kwa kumchinja shigo na kisha kumpora pikipiki yake aina ya SANLG...
Share:

TUMEFANIKIWA KUZIPATA PICHA ENZI ZA UHAI WAKE ZA MWANAFUNZI ALIYEFARIKI KATIKA HOSTEL ZA CHUO KIKUU MLIMANI (UDSM)

ENZI ZA UHAI WAKE.....
Share:

PICHA ZA UTUPU ZA LADY JAY DEE, KATIKA JARIDA LA VIBE..JIONEE UTAMU WA JAY DEE

Hizi hapa picha za Lady JayDee zakwenye jarida la VIBE zinazoleta zogo Mwimbaji na Mwanamuziki wa Bongo Flevaambaye anatikisa hapa Tanzania kwa vibao mbali mbaliJudith Wambura aka LadyJay Dee amepost picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo zita kuwepo kwenye...
Share:

MAKUBWA..!! KIJANA ANAEDAIWA KUWA NI MSUKULE,AONEKANA NJE YA NYUMBA YA KIKONGWE ALIYEUAWA KWA USHIRIKINA,NI SIKU MOJA BAADA YA MAZISHI YA KIKONGWE HUYO

Kijana Ndaki Samola akiwa amepandishwa ndani ya gari lapolisi kwa ajili ya kupelekwa kwa wataalamu ili kufanyiwauchunguzi kama ana matatizo ya akili. Katika hali isiyokuwa ya kawaida mamia ya wananchi wa kijiji cha Ilebelebe kata ya Itilima wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wamefurika...
Share:

Pigo jingine kwa bongo movie,Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogor...
Share:

PICHA CHAFU, JAMAA AWEKA PICHA ZA MPENZI WAKE MTANDAONI KISA AMEPIGWA KIBUTI

  Wimbi la picha za uchi lazidi kushika kasi katika mitandao ya kijami,cheki jamaa ameweka picha za mpenzi wake kisa ameachwa na mpenzi wake PICHA HAPO CHINI <<BOFYA HAPA PICHA1>> <<BOFYA HAPA PICHA2>>...
Share:

Friday, 30 May 2014

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA

...
Share:

WAPINZANI BUNGENI WAMKAANGA ZITTO

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni jana ilimlipua mbunge kutoka kambi yao, Zitto Kabwe ikimhusisha na ufisadi wa Sh119 milioni kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa). Hii ni mara ya kwanza kwa kambi ya upinzani kumhusiaha mbunge...
Share:

Muswada wa VAT waongeza muda wa Bunge

Spika wa Bunge, Anne Makinda amesema muda wa Bunge utaongezwa ili kutoa nafasi kwa serikali kuwasilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Kodi ya Mapato (VAT)...
Share:

MAMBO 6 AMBAYO WANAUME HAWAPENDI KUFANYIWA NA MADEMU ZAO

Haya niliyapata kutoka kwa mshauri wa masuala ya mahusiano, ndoa na vijana Frederick Kyara. Hizi ni baadhi tu nakuwekea hapa japo kuna vitu pia wanawake hawavipendi kutoka kwa wenzi wao wanaume. Nayo ni haya hapa, ungana nami kujadili jambo hili ambalo kwangu nimeona ni changamoto...
Share:

HUYU NDIYE KIJANA ANAYEKURA URODA WA IRENE UWOYA

Msanii kutoka Tanzania House of Talent Msami Giovanni ambaye kwa wakati huuana hit na ngoma yake ya Sound Track kwa wakati huu inasemekana eti yuko katika dimbwi zito la mahaba na muigizaji maarufu wa Bongo Movie Irene Uwo...
Share:

WAKUBWA TU: WAREMBO WASAGANA HADHARANI..TIZAMA PICHA HAPA

 Hakika hii ni hali ya kusikitisha na si jambo la kulichukulia mzaa.Wadada hao walionekana club wakilana denda mbele ya  kadamnasi bila woga.&nbs...
Share:

Jibu la Irene Uwoya baada ya kuulizwa uhusiano wake na Msami wa THT.

Kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoya na jana alisikika Msami ambaye alikanusha uhusiano lakini mpenzi wake Rehema aliweka wazi kuwa ni kweli Msami ana uhusiano wa kimapenzi na Irene Uwoya. Sasa ...
Share:

Zitto Kabwe Awajibu Chadema Walio Mtuhumu Kwa Ufisadi Kupitia LekaDutigite

Nasikitika kwamba katika hali niliyonayo ya kumwuguza mama yangu naingizwa kwenye siasa za majitaka.  Kampuni ya LekaDutigite inamilikiwa na wasanii. Gombe Advisors ni kampuni isiyofanya faida (Company limited by guarantee) na haina maslahi yeyote ya kibiashar...
Share:

MKE WA MTU SUMU!!..AKODI NGOMA KUMFUMANIA MKE! MTAA WAFUNGWA KWA CHEREKO CHEREKO,POLISI WATINGA

AMA kweli dunia ina mambo na mambo yenyewe ndiyo haya! Katika hali ya kushangaza, mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ramadhan Ally, mkazi wa Kata ya Mbuyuni Manispaa ya Morogoro amewashangaza wengi kufuatia uamuzi wake wa kukodi ngoma ya asili kwa lengo la kwenda kumfumania mkewe aliyejulikana...
Share:

NI ZAIDI YA LAANA! MZUNGU DAR AMLAZIMISHA HAUSIGELI AFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE

KHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa kazi za nyumbani (hausigeli) mkazi wa Tabata  jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Aneth, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai kuwa bosi wake ambaye ni Mzungu amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa wake. Mapolisi wakiwa wametinga...
Share:

LULU ATEMBEA ‘MATITI’ NJE!

MSANII wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvukwa na gauni alilokuwa amevaa na kulazimika kutembea huku sehemu kubwa ya kifua chake ikiwa wazi.Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja kimoja kichopo mjini Arusha ambapo mmoja wa...
Share:

KIMENUKA BONGO MOVIE!!..STEVE NYERERE, BABA HAJI WATAKA KUZICHAPA MSIBANI

MAJANGA! Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na muigizaji Adam Haji ‘Baba Haji’ nusura wazichape baada ya kupishana kauli. Mwenyekiti  wa Bongo Muvi, 'Steve Nyerere' (aliyeshika chupa ya maji) akilia kwa uchungu katika msiba wa Recho. ‘Uwanja wa vita’ ulikuwa...
Share:

RACHEL AMUUMIZA WASTARA

KIFO cha msanii wa filamu, Rachel Haule kimewaumiza wengi lakini baadhi yao ni wasanii wenzake, Halima Yahaya ‘Davina’ aliyeachiwa hausigeli wa marehemu katika mazingira ya ajabu huku Wastara Juma akiumizwa na viatu na pochi alivyopewa na Rachel kabla hajafariki dunia. Msaniii wa Bongo...
Share:

Thursday, 29 May 2014

NJAA NJAA NJAA"HAYA NI MANENO YA WANAFUNZI SUA-MARA TU NILIPOONANA NA MAPEMA LEO HII"

                                             NJAA NJAA NJAA"HAYA NI MANENO YA WANAFUNZI SUA-MARA NILIPOONANA NAO" HUKU WENGINE WAKISEMA TUMECHOKA NA PASI NDEFU,WENGINE PIA WAKISEMA...
Share:

KUDAI TANGANYIKA KULIANZIA BUNGENI 1993 - 5

Tulieleza jinsi wabunge 55 walivyotaka kuirudisha Serikali ya Tanganyika na jinsi baadhi yao ‘walivyonyamazishwa’ kwa kupewa uwaziri na Mwalimu Julius Nyerere alivyozima hoj...
Share:

MAASKOFU, FREEMASON...

BAADHI ya viongozi wa dini nchini wamesema kwamba Watanzania wengi wamekuwa na imani na mambo ya kishirikina wakiamini kuwa wanaweza kubadili maisha kwa njia ya kuwa wanachama wa Imani ya Freemason badala ya kutumia akili huku wakiweka imani kwa Mung...
Share:

AUNTY LULU, BWANA’KE WAMWAGANA

LILE penzi la msanii wa filamu na mtangazaji, Lulu Mathias na mchezaji mpira wa zamani, Amani limesambaratika baada ya hivi karibuni mwanaume huyo kuondoka na kilicho chake huku akimwacha mwanadada huyo ndani ya nyumba peke yak...
Share:

MCHUMBA WA MTU AZIMIKA BARABARANI, POMBE YATAJWA

Msichana mmoja aliyetajwa kwa jina la Halima aliyedaiwa kuwa ni mchumba wa mtu, hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kukutwa amezimika barabaran...
Share:

HOFU YATANDA WASAMARIA WEMA WAINGIA MITINI DHAMANA YA WAZAZI WA MTOTO WA BOKSI

HATIMAYE wale watuhumiwa wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa miaka 4 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro kujibu mashitaka ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto Nasra huku watu waliotakiwa kuwawekea dhamana watuhumiwa hao wakiingia mitin...
Share:

THEY HAVE GONE TOO SOON! WAMEKWENDA MAPEMA MNO!

RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa! RECHO: KUZALIWA 1988  KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YR...
Share:

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI BABATI LEO, AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MANYARA

Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukivuka katika mto Magara mapema leo asubuhi kuelekea wilayani Babati mkoani Manyara.Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,siasa na Uenezi Nape Nnauye,wakiwa kwenye ziara ya siku saba ya kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa...
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

                                         ...
Share:

TAZAMA MTO RUVU

Bagamoyo. ...
Share:

BAADHI YA MUVI ALIZOCHEZA MAREHEMU RECHEL HAULE

Marehemu Racheal Haule enzi za uhai wak...
Share:

AIBU MUME WA FLORA MBASHA AMEMBAKA SHEMEJI YAKE MWENYE UMRI WA MIAKA 17

Dar es Salaam.Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili,...
Share:

TAZAMA PICHA ZA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AKIONYESHA VITU VYAKE NI BALAAA KWELI.....

 Ni aibu kwa msomi kuweka picha za nusu uchi mtandaoni cheki huyu mmoja wa wanachuo wa chuo kimojawapo hapa dodoma ameweka picha hizi mtandaoni BOFYA HAPO CHINI KUANGALIA PIC...
Share:

Mchumba wa Vicky Kamata kumbe ni Tapeli Alishawatapeli Wadada Wengine Wawili

Haya ndo manejo ya Le Mutuz mara baada ya kukutana na Mhe. Vicky Kamata, nanuku...
Share:

MUME WA FLORA MBASHA ASAKWA KWA UBAKAJI

JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima. Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel...
Share:

BOTI YAZAMA NA KUUA WATU ZIWA VICTORIA CHEKI PICHA HAPA

Watu watano wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria...
Share:

Kwanini Mabinti wa Kitanga Wanagombaniwa?

Jamani hivi Tanga Kunani? Toka Nimekua na Kubalaa nasikia tu kuwa ukipata...
Share:

PIGO KWA MANCHESTER UNITED MMILIKI WA TIMU AFARIKI

Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85. MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekan...
Share:

Muonekano Mpya wa Mwigizaji Lulu Michael Baada ya Kuachana na Mawigi

Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka ya ...
Share:

Wednesday, 28 May 2014

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/G/23 27 Mei, 2014 KUITWA KAZINI

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapendakuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usailikuanzia tarehe 09 Aprili, 2014 hadi tarehe 09 Mei, 2014 kuwawalioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwakuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo...
Share:

BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"

                                          HABARI ZILIZOTUFIKIA MDA SI MREFU NI KWAMBA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA SOKOINE WAMEGOMA KUINGIA MADARASANI KUTOKANA...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger