na blogger boy;
Waziri
Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye akiwasili kwenye Makao Makuu ya
Chama Cha Mapinduzi Dodoma tayari kwa kuhojiwa na Kamati Ndogo ya
Maadili.
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward Lowasa akizungumza na Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye kabla ya kuanza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma.
Ndugu William Ngeleja akisubiri kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama.
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward Lowasa kizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi ambapo alisema mazungumzo yalikuwa mazuri,yalikuwa yenye nia ya kukijenga chama kwa ajili ya uchaguzi 2015.
Waandishi wa Habari wakiwajibika kuandika habari nje ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi ambapo viongozi watatu walihojiwa na Kamati ndogo ya Maadili.

Kamati
Ndogo ya Maadili ya CCM inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Ndugu Phillip Mangula leo imewahoji watu watatu ambao wawili
walishawahi kuwa Mawaziri Wakuu katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano
ya Tanzania.
Mawaziri
hao waliohojiwa leo ni Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa,Waziri Mkuu wa
Zamani Ndugu Fredrick Sumaye na Mbunge wa Sengerema Ndugu William
Ngeleja ambaye pia alishawahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini.
Kamati
hiyo bado ina kazi ya kuwahoji viongozi wengine watatu ambao leo
walishindwa kufika baada ya kuomba hudhuru kwani walikuwa na majukumu
mengine ya kiserikali, ambao hawajafika leo ni Waziri wa Mambo ya Nje
Ndugu Bernard Membe ambaye yupo safarini nje ya nchi ,Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassirana Naibu
Waziri wa Sayansi na Teknolojia Ndugu Januari Makamba.
0 comments:
Post a Comment