Sunday 9 February 2014

KOCHA ARSENE WENGER MAJANGA!

...

  Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiingia katika Stesheni ya Liverpool Lime Street.

...Mzee baada ya kula mweleka katika stesheni hiyo.…

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiingia katika Stesheni ya Liverpool Lime Street.
...Mzee baada ya kula mweleka katika stesheni hiyo.
...Akisaidiwa na polisi wa stesheni.
...Wenger akisaidiwa kuinuka na mwanausalama.
BAADA ya kipigo cha bao 5-1 jana kutoka kwa vijana wa Anfield, Liverpool, Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger alipata majanga mengine baada ya kuteleza na kuanguka wakati akiingia katika Stesheni ya Liverpool Lime Street ili kurejea London. Wenger aliteleza na kula mweleka akiwa na mabegi yake ambapo alisaidiwa na polisi wa eneo hilo la stesheni.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger