Saturday 15 February 2014

NAY WA MITEGO ANASWA KIMAHABA

...

PICHA za mkali wa Hip Hop Bongo anayesumbua na wimbo wa Nakula Ujana, Emanuel Eribarik ‘Nay wa Mitego’ akiwa na Mbongo Muvi, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ katika pozi za kimahaba zimenaswa.

Nay wa Mitego akiwa na Mbongo Muvi.
Baada ya picha hizo kutua mikononi mwa paparazi wetu, alimtafuta Nay wa Mitego ambaye inafahamika na wengi kuwa mpenzi wake ni binti aitwaye Siwema, alipopatikana aliumauma maneno lakini kwa upande wake Bozi, bila hiyana alifunguka:

Emanuel Eribarik ‘Nay wa Mitego’ akiwa na Mbongo Muvi, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.
“Siwezi kubisha hata kidogo nampenda sana huyu mwanaume (Nay) hata aende wapi atarudi hapa, huyo Siwema hawezi kunikondesha, siwezi kumwacha huwa nalala kwake napika na kupakua,” alisema Bozi.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger