Rais wa Bunge la Afrika (Pan - African Parliament – PAP) Mhe. Seneta. Chief Fortune Charumbira akiongoza Mkutano wa Bunge leo Jumatano Oktoba 26,2022 katika ukumbi wa Bunge la PAP Midrand, Johannesburg Afrika Kusini ambapo Wabunge kupitia Kanda mbalimbali wamewasilisha Maoni yao kuhusu Marekebisho ya Kanuni za Bunge la Afrika Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
0 comments:
Post a Comment