Rais Samia Suluhu Hassan kupitia akaunti zake rasmi ya mitandao ya kijamii ameandika;
“Kongole Simba kwa ushindi wa 1-0 (ushindi wa jumla 4-1) mlioupata dhidi ya timu ya Primeiro De Agosto ya Angola na hivyo kufanikiwa kuingia hatua ya makundi ya klabu bingwa Barani Afrika. Nawatakia kila kheri katika michuano inayofuata,”
0 comments:
Post a Comment