Brigedia Jenerali mstaafu, Emmanuel Maganga enzi za uhai wake.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali mstaafu, Emmanuel Maganga amefariki dunia leo Alhamis usiku Januari 21,2021.
Taarifa za awali inaelezwa kuwa Brigedia Jenerali mstaafu, Emmanuel Maganga amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Jeshi mkoani Tabora.
Taaifa zaidi tutawaletea hivi punde
0 comments:
Post a Comment