Funga mwaka na kumiliki kiwanja cha ndoto zako! Kwa mkopo nafuu kabisa usio kuwa na riba wala dhamana yoyote ile.
Hii ni ofa kabambe kwa wateja wetu wote wapya hasa katika msimu huu wa sikukuu za krismasi na mwaka mpya.
Sasa unaweza miliki kiwanja kilicho pimwa na chenye hati kwa kulipa kidogo kidogo ndani ya mwaka mzima yaani miezi 12 na zaidi ya mwaka mmoja kwa viwanja vyetu vya kigamboni Gezaulole.
viwanja vyetu vipo maeneo yafuatayo;
- Goba kisauke bei 35,000 kwa Sqm
- Madale flamingo bei 40,000 kwa Sqm
- Bunju ''A'' (kinondo - Mji mpya ) bei 25,000 kwa Sqm
- Kerege (matumbi) bei 17,000 kwa Sqm
- Mbweni (kiharaka) bei 25,000 kwa Sqm
- Kigamboni (Gezaulole) bei 18,000 kwa Sqm ( ofa ya hivi viwanja ni kwamba unaweza lipia laki tano tano tu kila mwezi mpaka utakapo kamilisha malipo yako husika)
- Mbezi (luguruni) bei 35,000 kwa Sqm
NB: Viwanja vyetu vyote vimepimwa na vina hati, mteja atakabidhiwa hati miliki ya kiwanja chake husika mara tu baada ya kukamilisha malipo yake husika.
- Ofisi zetu zipo jengo la Mwenge tower ghorofa ya tano tupo opposite na Mlimani city.
Tupigie: 0677307772
Tuesday, 17 November 2020
OFA OFA ....Funga mwaka na kumiliki kiwanja cha ndoto zako! Kwa mkopo nafuu kabisa usio kuwa na riba wala dhamana yoyote ile
OFA OFA OFAAAAAAA!
0 comments:
Post a Comment