INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANZIA
Marehemu Victoria Rubambimpala
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anasikitika kutangaza kifo cha Bibi. Victoria Rubambimpala, (Katibu Muhutasi) kilichotokea tarehe 1 April, 2016 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Taratibu
za Mazishi zinafanyika nyumbani kwa marehemu, Goba-Dar es Salaa, kabla
ya kusafirishwa kwenda Ngara Mkoani Kagera kwa ajili ya maziko.
"Mungu ailaze roho ya mrehemu mahala pema pepon,
Amen"
0 comments:
Post a Comment