Kafariki jana usiku ikiwa ni masaa machache tu yamebaki Majaliwa amtembelee akiwa ziarani Simiyu.
Sababu kubwa ni pressure ,wakati anakimbizwa bugando akafariki dunia.
R I P MKUU ,innocent the blogger boy naheshimu mchango wako ktk wilaya yangu ya MASWA.
MASWAYETU BLOG TEAM TUPO PAMOJA NANYI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU
0 comments:
Post a Comment