Habari zenu,
Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2015 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo mbalimbali mwaka wa masomo 2016/2017.
Nitazungumzia mada hii muhimu kwa kugusa maeneo yafuatayo,
1.SEKTA YA AFYA
2.SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
3.SEKTA YA ELIMU
4.SEKTA YA ENGINEERING
5.SEKTA YA SHERIA NA BIASHARA
1.KOZI ZA AFYA
Afya ni moja kati ya sekta zinazoajiri kwa wingi sana vijana wengi kutokana na kutokuwepo kwa watalam wa kutosha kufiti nafasi hii adimu ya kuhudumia watu.
katika sekta hii inajumuisha kozi zifuatazo,
-nursing
-medicine
-pharmacy
-laboratory
Kutokana na ufaulu wa matokeo ya kidato cha nne ,Taasisi muhimu inayojishughulisha na udahili wa wanafunzi katika ngazi hii ya cheti na diploma wametoa sifa ambazo zitakufanya na kukuongoza katika kufanya maamuzi yako.
Ili uweze kudahiliwa(kuchaguliwa ktk chuo chochote cha afya tanzania ktk ngazi ya diploma na cheti kwa kozi tajwa hapo juu inabidi uwe umesoma masomo yafuatayo;
-physics
-chemistry
-biology
Masomo tajwa hapo juu ni lazima uyasome kama unataka kujiunga na kozi za afya.Pili inabidi uwe umefaulu kwa viwango vifuatavyo,
Kama una -physics-D,-chemistry-D,-biology-D(una sifa za kujiunga na cheti)
Kama una -physics-D,-chemistry-C,-biology-C(una sifa za kujiunga na Diploma)
Kutokana na vigezo tajwa hapo juu unaweza kuomba chuo chochote kile tanzania na nakuhakikishia 100% utachaguliwa kujiunga.
NOTE:KAMA HAUNA VIGEZO TAJWA HAPO JUU USIJISUMBUE KWANI HUTACHAGULIWA.
DEADLINE NI TAR 31 MARCH 2016
JINSI YA KUFANYA APPLICATION
ORODHA YA VYUO VYA AFYA UNAVYOTAKIWA KUOMBA
0 comments:
Post a Comment