INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mabadiliko ya tarehe ya usaili wa mahojiano kwa Kada za Instructor 1 na Laboratory Technician II ( MJNUAT)
Usaili wa kada za Instructor 1 na Laboratory Technician II utafanyika siku ya
Jumanne tarehe 8 Machi 2016.
Mahali ni palepale, Chuo Kikuu Ardhi , Dar-es-Salaam, Planning Building, Chumba Namba 46. Usaili utaanza saa 1 kamili asubuhi.
Zingatia: Usaili wa mahojiano kwa kada zingine zote utafanyika kama ilivyopangwa yaani Jumatatu tarehe 7 Machi, 2016 saa 1 kamili asubuhi.
Tangazo hili limetolewa na:
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Tekinolojia cha Mwalimu
Julius K. Nyerere (MJNUAT)
4 Machi 2016

0 comments:
Post a Comment