Tuesday, 31 March 2020

IGP Sirro Awaonya Watalii Kutojihusisha Na Biashara Ya Dawa Za Kulevya

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema kuwa Jeshi la Polisi kamwe halitamvumilia mtu yeyote atakayejihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwemo kujihusisha na uuzaji na usambazaji wa dawa za kulevya pamoja na uhalifu mwingine. IGP Sirro amesema hayo leo wakati akifungua kituo cha utalii...
Share:

Waziri Mpina Ashtukia Upigaji Wa Bilioni 2.6 Ujenzi Maabara Ya Uvuvi

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesimamisha malipo yote kwa Mkandarasi wa Kampuni ya Petra Construction co. Limited inayojenga maabara ya kisasa ya Taasisi ya Uvuvi Tanzania (TAFIRI) kituo cha Dar es Salaam hadi uhakiki wa gharama halisi za mradi huo utakapokamilika baada ya kubaini kuwepo...
Share:

Afariki kwa kupigwa na radi akiendesha pikipiki Toka Shambani

Mkazi wa kata ya Kabungu mkoani Katavi, Paulo Chundu (27) amefariki dunia kwa ya kupigwa na radi wakati akitoka shambani. Tukio hilo lilitokea machi 29 mwaka huu majira ya saa 12: 45 jioni katika mbuga za kalilankulukulu kata ya kabungu wilayani Tanganyika mkoani katavi. Kamanda wa jeshi la polisi...
Share:

Nafasi Mpya Za Kazi 100 Zilizotangazwa Wiki Hii na Makampuni Mbalimbali

Nafasi Mpya Za Kazi 100 Zilizotangazwa Wiki Hii na Makampuni Mbalimbali.....Bonyeza Links zifuatazo Kusoma zaidi na Kuapply: 1.Job Opportunities at University of The Arusha (UoA) 2.Project Manager at BRAC Tanzania 3.Project Officer at BRAC Tanzania 4.Laboratory Lead at ICAP 5.Project Director...
Share:

Meya wa Manispaa ya Iringa Aliyeng'olewa kukabidhi ofisi leo

Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe amesema atakabidhi ofisi na gari la meya leo Jumanne asubuhi baada ya kukamilisha taratibu za kiofisi. Kimbe ametoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kutaka kujua kwanini anaendelea na kazi licha ya kuondolewa madarakani...
Share:

Atiwa Mbaroni Kwa Kumfundisha Mbwa Kuendesha Gari

Mwanaume mmoja kutoka Lakewood Washington nchini Marekani, amekamatwa kwa kosa la kumfundisha Mbwa wake mwenye jinsia ya kike kuendesha gari kwa spidi, hali iliyopelekea kusababisha ajali. Jamaa huyo alimuweka Mbwa wake katika siti ya dereva, ambapo amesababisha ajali ya gari mbili zilizokuwa mbele...
Share:

Spika Ndugai Ataka Tusiwaige Wazungu Katika Kupambana Na Virusi Vya Corona

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema kuwa kama nchi haiwezi kuchukua tahadhari kama zilivyochukuliwa na Mataifa mengine duniani ya kupambana na Virusi vya Corona kwa kuwa watu wengi nchini maisha yao ni ya kubangaiza siku kwa siku. Hayo ameyabainisha leo Machi 31,...
Share:

Halima Mdee Ashauri Wabunge Wote Wapimwe Virusi Vya Corona

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma Mbunge wa jimbo la Kawe jijini  Dar Es  Salaam Mhe.Halima  Mdee ameishauri  Serikali kufanya mchakato wa kupima Corona wabunge wote na watakaobainika wawekwe karantini. Mhe.Mdee amesema hayo leo Machi 31,2020 bungeni jijini Dodoma ambapo amebainisha...
Share:

WAZIRI MPINA ASHTUKIA UPIGAJI WA BILIONI 2.6 UJENZI MAABARA YA UVUVI, AAGIZA TAKUKURU KUCHUNGUZA NDANI YA SIKU 7

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akipata maelezo ya namna ya shughuli ya ujenzi wa mradi wa jengo la Maabara ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) Kituo cha Dar es Salaam  kutoka kwa Mkandarasi wa Kampuni ya Petra Constuction co. Limited, Nicholaus Mlayi alipotembelea...
Share:

Viongozi wa Dini Rukwa waazimia kupunguza muda wa ibada kujihadhari na Corona

Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Rukwa wamekubaliana kuwa kila dhehebu kulingana na imani zao kuona namna ya kupunguza muda wa kufanya ibada katika misikiti na makanisa mbalimbali ili kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19). Wamekubaliana...
Share:

Elimu juu ya Ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona itolewe katika Maeneo ya Vijijini.

SALVATORY NTANDU Wakazi wa mkoa wa Shinyanga wameiomba serikali kuwachukulia hatua kali za kisheria baadhi ya wananchi wanaokaidi maagizo ya Wizara ya Afya,Maendeleo ya jamii,Wazee na Watoto juu ya kujikinga na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya  Corona kwa kutonawa mikono kwa maji yaliyowekewa...
Share:

Tanzia: Katibu mkuu wa CUF Khalifa Suleiman Khalifa afariki dunia

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Machi 31 2020 akipatiwa matibabu katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. . Mwanaye  Said Khalifa  amesema tangu Januari 2020 kwa nyakati tofauti baba yake aliugua na...
Share:

Ofisi Ya Ardhi Mara Kuwezeshwa Vifaa Vya Upimaji

Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema wizara yake itaipatia ofisi ya ardhi mkoa wa Mara vifaa vya upimaji ili viweze kutumiwa na halmashauri za mkoa huo  kwa lengo la kuongeza kasi ya upimaji. Dkt Mabula alitoa kauli...
Share:

Rais wa Uganda Yoweri Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14 ili Kukabiliana na Corona

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametagaza masharti zaidi ya kukabiliana na kuenea kwa virusi vya corona wiki mbili baada ya kupiga marufuku usafiri wa Umma. Katika hotuba yake kwa taifa iliyopeperushwa moja kwa moja kwenye televisheni usiku wa Jumatatu ,Museveni amepiga marufuku usafiri wa kutumia...
Share:

Naibu Waziri Mabula Aridhishwa Na Kasi Ya Ujenzi Hospitali Ya Rufaa Mkoa Wa Mara

Na Munir Shemweta, WANMM, MUSOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyoko Kwangwa Musoma unaogharimu takriban Bilioni 15.082. Dkt Mabula aliridhishwa na kasi ya mradi wa ujenzi wa...
Share:

BREAKING: Mgonjwa Mmoja wa Corona Tanzania Afariki Dunia

...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne March 31

...
Share:

Monday, 30 March 2020

WANANCHI WAOMBA ELIMU JUU YA UGONJWA WA CORONA ITOLEWE KATIKA MAENEO YA VIJIJINI

Mratibu wa Shirika lisilo la Kiserikali la REDCOSS Samwel Katamba akibandika Bango lenye Ujumbe wa kuhamasisha wananchi kujikinga Ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona katika kijiji cha Ulowa Halmashauri ya Ushetu. Baadhi ya Watumishi wa RED CROSS mkoa wa Shinyanga wakibadilishana Mawazo...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger