Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Khamis Kigwangala akiwa na baadhi ya wasanii wa muziki na filamu katika hifadhi ya Burigi Chato
Na Ashura Jumapili - Malunde 1 blog
WIZARA ya Maliasili na Utalii ipo katika mchakato wa kupandikiza Wanyama zaidi wa aina mbalimbali katika hifadhi...
Saturday, 30 November 2019
Picha : SHIRIKA LA FIKRA MPYA LAENDESHA KONGAMANO KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Shirika lisilo la kiserikali liitawalo Fikra Mpya la Mkoani Shinyanga, linalofanya shughuli ya kutoa elimu ya kujitambua kwa mtoto wa kike, limeendesha Kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi wa kike kutoka Shule za Sekondari Nane Mjini Shinyanga.
Kongamano hilo limefanyika leo...
Mbowe Arejesha Fomu yake ya Kugombea Uenyeki CHADEMA, Tundu Lissu Kuwa Makamu Mwenyekiti

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema atagombea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho katika Uchaguzi unaoendelea kufanyika hivi sasa ndani ya chama hicho.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe wakati akirejesha fomu yake ya kuwania Uenyekiti wa chama hicho kwa...
NHIF Yatoa Ufafanuzi Juu ya Taarifa za Ongezeko la Michango ya Wanachama Kutoka 18,000 Hadi 40,000

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema hakuna mabadiliko ya michango kwa watumishi kama ambavyo taarifa zinazosambazwa mitandao zinadai kuwa kuna ongezeko la uchangiaji kutoka TZS 18,000 hadi TZS 40,000.
...
Madiwani Watano CHADEMA Jijini Arusha Wajiuzulu na Kutimkia CCM

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. Maulid Madeni amethibitisha amepokea barua za madiwani watano kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka ndani ya jii hilo kujiuzulu nyadhifa zao.
Mbali na barua hizo za kujiuzulu, madiwani hao pia wamemuandikia barua katibu wa CCM Wilaya ya Arusha...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila aagiza mawakala mashine za EFD kukamatwa

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila ameagiza mawakala wa mashine za kutoa risiti za kielektroniki (EFD) mkoani humo, kukamatwa na kuwekwa ndani kutokana na kutohudhuria mkutano wa wafanyabiashara soko la Sido, jijini Mbeya leo Novemba 30, 2019.
Chalamila ametoa agizo hilo leo Jumamosi ...
Gari la Coastal Union Likiwa na Mashabiki Walioenda Kumshangilia Bondia Mwakinyo Lapata Ajali

Gari la Coastal Union iliyokuwa imebeba mashabiki kutoka Tanga ambao walienda Dar kumuunga mkono Bondia Mwakinyo limepata Ajali kwa kugongana na lori maeneo ya Bunju ikitokea Dar kurudi Tanga.
Kwa Mujibu wa Mganga Mkuu Bagamoyo,Dkt Azizi Msuya, majeruhi walikuwa zaidi ya kumi na sita lakini...
Ajinyonga Baada Ya Mkewe Kumtoroka Usiku na Kwenda Kwa Mwanaume Mwngine

Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti wilayani Nkasi mkoani Rukwa, likiwemo la mwanaume kujinyonga kwa kutumia kamba ya nailoni baada ya kugundua mke wake amemtoroka usiku na kwenda kwa mwanaume mwingine.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Justine Masejo, alisema katika tukio la kwanza...
Chuo Cha Mipango Chatakiwa Kufanya Utafiti Wa Umasikini Na Utekelezaji Miradi Ya Umma

Benny Mwaipaja, Dodoma
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kutafiti kwa kina namna wananchi wanavyoweza kuondokana na umasikini wa kipato pamoja namna Miradi mbalimbali ya Serikali inavyoweza kutekelezwa kwa ufanisi na kwa kuzingatia...
Simbachawene: Matumizi Ya Nishati Mbadala Ni Kitu Cha Muhimu Kwa Maendeleo Ya Taifa

Matumizi ya nishati ya kuaminika na endelevu ni kitu kisichoepukika kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja na kwa Taifa lolote duniani hasa tunapoelekea kufikia lengo la Uchumi wa Viwanda ifikapo mwaka 2025. Hayo yamesemwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. George Simbachawene...
KAULI YA MWAKINYO BAADA YA KUMCHAPA MFILIPINO ARNEL TINAMPAY

Bondia Mwakinyo akimchapa konde la uso mfilipino Arnel
Bondia Hassan Mwakinyo amesema moja ya sababu iliyopelekea yeye kumshinda Bondia Mfilipino Arnel Tinampay, ni yeye kurusha ngumi nzito huku mpinzani wake akiwa anarusha ngumi nyingi zilizokuwa nyepesi sana.
Mwakinyo ametoa kauli hiyo, baada...
Mahiga Awataka Wakuu Wa Magereza Nchini Kutumia Ujuzi Wa Wafungwa Kujiendesha Na Kutoa Mchango Wa Gawio Kwa Serikali

Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Balozi Dkt Augustine Mahiga amewataka Wakuu wa Magereza nchini kutumia nguvu kazi na ujuzi wa wafungwa walioko magerezani kubuni miradi mbalimbal ili kuwazalishia fedha zitakazowawezesha kujiendesha bila kutegemea ruzuku kutoka serikalini.
Balozi Mahiga ameyasema...
ELIMU YA UMEME KWA WASIOONA YAIPA TANESCO TASWIRA MPYA

MKUU wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare akizungumza wakati wa uzinduzi wa wasrha hiyo kushoto ni Kaimu meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Morogoro William Masome
Sehemu ya wanachama wa chama cha wasioona Tanzania (TLB) mkoani Morogoro.
Sehemu...
ACT- Wazalendo wataka vifurushi bima ya NHIF Visitishwe, Serkali Yawajibu

Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kusitisha vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania (NHIF) kwa madai kuwa vinakandamiza wasiokuwa na uwezo.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dorothy Semu, alipozungumza na waandishi wa habari.
Vifurushi...