Thursday, 28 February 2019

Picha : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU ALIVYOTUA KWA KISHINDO KISHAPU LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia wananchi waliokuja kumlaki wakati akiwasili kwenye mgodi wa Almasi Mwadui mkoani Shinyanga. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia...
Share:

MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA AUAWA KWA KUPIGWA NA MWALIMU

Picha haihusiani na habari hapa chini Mwanafunzi mmoja wa darasa la saba katika shule ya msingi ya Mikuyuni eneo la Kibwezi kaunti ya Makueni nchini Kenya kufariki dunia baada ya kupigwa na mwalimu.   Akidhibitisha kisa hicho, kamanda mkuu wa polisi kata ndogo ya Kibwezi Ben Chagulo alisema...
Share:

BABU WA MIAKA 71 MWENYE WATOTO 11 AAMUA KUPANGA UZAZI KUPITIA NJIA YA UPASUAJI

Mwanaharakati mmoja  Rubaramira Ruranga mwenye umri wa miaka 71 kutoka Uganda na ambaye ni baba wa watoto 11 ameamua kupanga uzazi kupitia njia ya upasuaji ili kuzuia kuzaa watoto wengine. Ruranga aliwataka wanandoa wachanga kupanga vema uzazi na kujadili idadi ya watoto wanaotaka...
Share:

MSIBA WA RUGE WAKWAMISHA KESI YA HALIMA MDEE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha usikilizaji wa kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, kufuatia shahidi wa upande wa mashitaka kushindwa kufika mahakamani.  Wakili wa Serikali, Ashura Mzava ameiambia mahakama kuwa shahidi huyo ameshindwa kufika mahakamani kutoa...
Share:

MWILI WA RUGE KUWASILI KESHO SAA NANE MCHANA DAR

Mipango ya kuurejesha nchini mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba, imekamilika Afrika Kusini na mwili wake unatarajiwa kuwasili kesho majira ya saa 8:00 mchana katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Msemaji...
Share:

KABURI LA RUGE MUTAHABA LAANZA KUANDALIWA

Maandalizi ya kumzika marehemu Ruge Mutahaba katika kijiji cha Kiziru Wilaya ya Bukoba yamepamba moto na ujenzi wa kaburi umeanza leo. Siperatus Mbeikya ambaye ni mmoja wa wanafamilia amesema taratibu zinaendelea ikiwa ni pamoja na kupokea wageni kutokana maeneo mbalimbali. Pia, amesema maandalizi...
Share:

Picha : SAVE THE CHILDREN YATAMBULISHA MRADI WA LISHE ENDELEVU DODOMA

Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Binilith Mahenge akizungumza wakati mradi wa Lishe endelevu ukitambulishwa Dodoma Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto la Save the Children kwa kushirikiana na Delloite,Manoff na PANITA limetambulisha rasmi mradi wa lishe endelevu kwa viongozi, watendaji na wadau wa maendeleo...
Share:

FISI WANAOTAFUNA NYETI WAZUA GUMZO

Uchungu wa kufinywa nyeti ni wa ajabu zaidi kwa wanyama na hata binadamu na hivyo kwa kutaja tu kisa cha aina hiyo, mwili husisimuka.  Katika Mbuga ya Kitaifa ya Aberdare, nyati dume wanaishi kwa uoga mkubwa sana baada ya fisi katika mbuga hiyo kugeuka katili na kuanza kufanya sehemu hizo...
Share:

SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA AJIRA 4,549 ZA WALIMU

Serikali imetangaza nafasi za ajira 4,549 za walimu wa shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha 2018/19 ili kupunguza uhaba wa walimu ulipo nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani...
Share:

MKUTANO WA TRUMP NA KIM JONG UN WAVUNJIKA

Katika hali ambayo haikutegemewa, Mkutano kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un umevunjika. Mkutano wa siku mbili kati ya viongozi hao waliokutana nchini Vietnam umelazimika kuahirishwa baada ya kutofautiana katika masuala ya msingi, hivyo hawakufikia...
Share:

HATMA YA DHAMANA YA MBOWE,MATIKO KESHO

Hatma ya dhamana ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko inatarajiwa kujulikana kesho March 1, 2019 katika Mahakama ya Rufani ambapo mahakama hiyo inatarajia kutoa uamuzi wa rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) dhidi ya Mbowe na Matiko. Katika...
Share:

Picha : LOWASSA AFIKA NYUMBANI KWA RUGE MUTAHABA KUWAFARIJI WAFIWA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa leo asubuhi wamefika nyumbani kwa Prof. Mutahaba ambaye ni baba mzazi wa Ruge Mutahaba aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji vipindi wa Clouds Media Group kutoa pole na kuwafariji wafiwa. Ruge Mutahaba...
Share:

BENKI YA NMB YAMWAGA MISAADA KUSAIDIA SHULE MKOANI KATAVI

Benki ya NMB imekabidhi msaada wa vifaa kwa ajiri ya shule za Sekondari na msingi vyenye thamani ya shilingi milioni 40 kwa shule za Sekondari tano na tatu za msingi mkoani Katavi. Hafla za makabidhiano hayo zilifanyika jana katika viwanja vya shule ya Sekondari ya Rungwa katika Manispaa ya Mpanda...
Share:

DUDUBAYA AANZA KUSHUGHULIKIWA... ANASHIKILIWA POLISI OYSTERBAY MAKOSA YA MTANDAO

Mwanamuziki Godfrey Tumaini maarufu ‘Dudu Baya' anashikiliwa na polisi katika kituo cha Oysterbay jijini Dar es Salaam. Kamanda wa polisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema Msanii huyo anashikiliwa kwa mahojiano. Dudu Baya aliyewahi kutamba na wimbo Mwanangu Huna Nidhamu, amekamatwa baada ya kuamriwa...
Share:

WENYE MAKALIO MAKUBWA WATUA KWA SPIKA KULALAMIKA SHINDANO LAO KUZUIWA

Waandaaji wa shindano la wanawake walio na maumbo makubwa nchini Uganda wamewasilisha malalamiko yao kwa spika wa bunge kufafanua madhumuni yao. Wamesema kuwa lengo lao sio kutumia shindano la 'Miss Curvy Uganda'' kuvutia watalii kuja nchini humo. ''Haya ni mashindano ya urembo wa wanawake wanene''alisema...
Share:

TAPELI AWALIZA WATUMISHI WA UMMA.....SERIKALI YATOA TAHADHARI

...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger