Saturday 18 April 2015

NEWS:"MWANZILISHI WA IS AUAWA NCHINI IRAQ"

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Al-Douri
Runinga nchini Iraq imeripoti kuwa Izzat Ibrahim
al-Douri, ambaye wakati mmoja alikuwa makamu wa Rais Saddam Hussein na mmoja wawaanzilishi wa kundi la Islamic State nchini Iraq, ameuawa.
BBC bado haijapata taarifa rasmi ya kuthibitisha kifo chake, lakini picha na maelezo kuhusu kifo cha Bwana Al Douri imeripotiwa pakubwa.
Iwapo taarifa hiyo ni kweli, kifo chake kitakuwa hatua kubwa kwa serikali ya Iraq dhidi ya makundi ya Jihadi.
Al Douri ambaye daima ana masharubu mekundu, alikuwa mfalme katika kilabu kwenye kadi zilizotolewa ili kusaidia majeshi ya Marekani kutawambua wanachama katika utawala wa Saddam Hussein, mnamo mwaka 2003.BBC
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger