Saturday 25 April 2015

NEWS:"MKOA WA RUVUMA UNATARAJIA KUANAZA UANDIKISHAJI WA BVR APRIL 28 ,2015"

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mkoa wa Ruvuma unatarajiwa kuanza zoezi la uandikishaji 
wapiga kura kupitia mfumo wa   kielektroniki(BVR)  Aprili 28  Jumanne huku wananchi wakitakiwa kujitokeza  kwa wingi kujiandikisha.
Hayo yamesemwa na mkuu wa mkoa wa Ruvuma  Bw. Said Mwambungu wakati akizungumza na wanahabari ofisini kwake   na  kwamba BVR  za kutosha zimeshasambazwa  wilaya  zote.
 
Amesema kuwa uandiskishaji utaendelea hadi kila wilaya itakapokamilisha zoezi la uandikishaji.
Wakati   huo huo  mkuu huyo wa mkoa amezungumzia uzinduzi  na uwashaji wa Mwenge wa uhuru utaofanyika katika uwanja wa majimaji mjini Songea Aprili 29 mwaka huu
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger