Friday 24 April 2015

YANGA YAICHAPA RUVU SHOOTING 5-0 UWANJA WA TAIFA, DAR

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wachezaji wa Yanga, Kpah Sherman na Simon Msuva wakishangilia ushindi wa leo wa 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting.

Sintofahamu wakati wa mchezo wa Yanga na Ruvu Shooting leo.
Mrisho Ngassa akijaribu kumtoka mchezaji wa Ruvu Shooting.
KIKOSI cha Yanga SC leo kimetoa kichapo cha mabao 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga yamewekwa kimiani na Kpah Sherman (2), Amissi Tambwe na Simon Msuva (2).
Kwa matokeo ya leo, Yanga imetimiza jumla ya pointi 52 ikiwa imecheza michezo 23 na kuendelea kuongoza ligi hiyo.

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger