Thursday 30 April 2015

PICHA:WATOTO WAUA BABA,MAMA KATIKA MATUKIO TOFAUTI

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mkono wa baba aliyeuliwa na mwanaye.
POLISI katika Jimbo la Enugu, Nigeria, wanachunguza vifo
ambapo wanaume wawili wasiokuwa ndugu, waliwaua baba na mama zao katika matukio mawili tofauti.
Mauaji hayo yalitokea Aprili 26 Jumapili iliyopita na Aprili 27 Jumatatu ya wiki hii sehemu tofauti ambapo muuaji wa kwanza, Chijioke Onyeke, alimkata baba yake kwa panga mnamo saa 12 jioni katika ugomvi usiofahamika chanzo chake katika kijiji cha Umuogboagu kaskazini mwa nchi hiyo.
Mtu huyo alifia katika hospitali ya St. Mary, kutokana na majereha ambapo mtuhumiwa alikamatwa.
Katika tukio jingine, Chidi Agbo, kutoka kijiji cha Igboeze, kaskasini mwa nchi hiyo, alimpiga mama yake hadi kumwua ambapo pia sababu ya kufanya hivyo haijulikani.
Chidi naye yuko mikononi mwa polisi.
BONYEZA HAPO CHINI KUANGALIAMA JINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO 2015
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger