Wednesday 29 April 2015

AJALI:"BASI LA ABOOD LAGONGANA NA BASI LA AKTRI MAENENO YA MIKESE"

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Name:  Mikese JF.jpg
Views: 0
Size:  58.7 KBKumetokea ajali asubuhi hii saa 8:48 am maeneo ya Mikese kijiji cha Fulwe kati ya basi la Aboud na Takrbir baada ya
ku-overtake, yote yakitokea Morogoro kuja Dar, na kusababisha folen kubwa ya magari kwa zaidi ya saa moja.

Wakati anaovertake basi la aboud mbele kulikuwa na semitrella ikitokea mdaula huko ikishuka kwa kasi kwenye kimtelemko, kwa walio na kumbukumbu eneo hilo ni lile ambapo petrotank liliwaka moto baada ya ajali 2013.
MASWAYETU BLOG TEAM 

 KUANGALIA SELECTION KIDATO CHA TANO 2015 BONYEZA HAPO CHINI
 

 
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger