Wednesday, 5 May 2021

Picha : RAIS SAMIA AKIWA KWENYE DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS KENYATTA

...


Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta kabla ya kwenda kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta na Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta kabla ya kwenda kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo



Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger