(Hawa ni baadhi ya waagwa wakiwa wamependeza kwelikweli) |
Katika mahafali hayo Mgeni Rasmi alikuwa Ni mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki(CCM) MH.Nyongo amabaye aliwakilishwa vizuri na kikamilifu na Mwl.Kabarata-Headmaster Shishiyu sec school,ambae kiujumla alifanya kazi yake aliyoagizwa na Mh.Mbunge kwa ustadi wa hali ya juu.
Maswayetu blog team inapenda kuwapongeza wanafunzi wote waliofanya mahafali yao kidato cha sita na kuwapongeza kidato cha kwanza kuchaguliwa kujiunga na shule kongwe na nzuri ya binza iliyopo maswa mkoani Simiyu.
Tazama hapo chini Matukio katika picha
(Mgeni Rasmi mwalimu kabarata akiwa ktk meza kuu wakati mahafali yakiendelea) |
0 comments:
Post a Comment