ALIYEKUWA MBUNGE WA CHADEMA CHRISTINA LISSU AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa
Mbunge Viti Maalum (Chadema) Mh.Christina Mughwai Lissu amefariki dunia
muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar. Marehemu
alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa saratani tangu mwaka jana. Mungu
ampumzishe kwa amani.!
0 comments:
Post a Comment