Thursday, 24 October 2019

MAMA SALMA KIKWETE ATUA BURUNDI KUHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE VIONGOZI

...

Mke wa Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mhe. Mama Salma Kikwete jana ameungana na Viongozi mbalimbali Wanawake katika hafla ya kuelekea Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake Viongozi unaofanyika nchi Burundi huku mwenyeji wa Mkutano huu akiwa ni Mke wa Rais wa Burundi Mhe Denise Nkurunziza

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger