Tuesday, 31 January 2017

BREAKING NEWS:HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2016

  NECTA yaachia matokeo ya wanafunzi ambaowamemaliza kidato cha nne 2016 ,Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia majina endapo unahitaji kujua matokeo yako; ILI KUANGALIZIWA FANYA YAFUATAYO; TAFADHALI FANYA YAFUTAYO KAMA UNATAKA KUANGALIZIWA; 1.TUMA ...
Share:

Tathmini ya Matokeo ya Kidato cha nne 2016 -Tazama matokeo Hapa

   Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016 ambapo umefaulu wa jumla umeongezeka kwa 2.56% kutoka 67.53% mwaka 2015 hadi 70.09% mwaka 2016. Katibu Mtendaji wa barza hilo, Dkt Charles Msonde amesema kati ya wanafunzi 408,372 waliofanya...
Share:

Wanafunzi 10 Waliofanya Vizuri Zaidi Kitaifa Katika Matokeo Ya Kidato cha Nne 2016

...
Share:

Shule 10 Bora na 10 za Mwisho katika Matokeo Kidato cha Nne 2016

Leo January 31 2017 Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2016’. Hapo chini kuna orodha ya shule 10  bora kitaifa na shule 10 zilizoshika mkia ...
Share:

Monday, 30 January 2017

TANGAZO JIPYA LA KAZI MASWAYETU BLOG

Habari zenu, Maswayetu blog inatafuta vijana 10 ambao watafanya kazi na blog hii kwa kupost habari mbalimbali kila zinapotokea na kushare sehemu mbalimbal...
Share:

MAALIM SEIF:NITAKUWA RAIS WA ZANZBAR

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema mgogoro wa Zanzibarna anaamkni atakuwa Rais Zanzibar. Amesema, mgogoro visiwani humo utamalizika endapo viongozi wa vyama vyote va siasa watakaa chini kufanya mazungumzo. Akizungumza katika mahojiano katika kipindi cha Funguka kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Azam, Maalim Seif alisema jambo la muhimu...
Share:

MTUMISHI ASIEWASILISHA CHETI CHAKE IFIKAPO MACHI MOSI MWAKA HUU KAJIFUKUZISHA KAZI

MTUMISHI wa umma atakayeshindwa kuwasilisha cheti cha elimu na taaluma au “Index number” ya mtihani ili zihakikiwe na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), itakapofika Machi mosi mwaka huu, atakuwa kajiondoa kazini mwenyewe, imeelezwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora), Angellah Kairuki alibainisha hayo mwishoni mwa wiki wakati akifungua Mkutano...
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARY TAREHE 30.1.2017

...
Share:

Mahakama Yapiga marufuku amri ya Rais Trump kuzuia Watu Kuingia Marekani

Mahakama moja ya New York Marekani imeridhia ombi la wanaharakati waliokwenda Mahakamani kupinga amri ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo, kupiga marufuku Wakimbizi wa Syria na raia wengine wa nchi sita za kiislamu kama Iran, Iraq, Somalia, Sudan, Libya na Yemen wasiingie Marekani. Mahakama ...
Share:

Picha: Treni ya abiria yapata ajali ikitokea Kigoma kwenda Dar

Treni ya abiria ya EXPRESS ikitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam leo January 29 2017 imepata ajali maeneo ya Ruvu ndani ya mkoa wa Pwani ikiwa ni kilometa kadhaa kabla ya kufika kwenye jiji la Dar es salaam. Shuhuda ambaye alikua ndani ya Treni hiyo amesema Behewa zaidi ya 10 zimepinduka...
Share:

Friday, 27 January 2017

Wazee 2 mbaroni kwa ubakaji, ulawiti watoto 11

WAKAZI wawili akiwemo Mustafa Kassimu (75) ambaye ni mganga wa tiba za asili katika wilaya ya Korogwe mkoani Tanga na fundi wa kushona nguo, Rashidi Singano (70) wa wilayani Lushoto, wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kubaka na kulawiti wanafunzi 11 wa shule za msingi. Katika tukio la kwanza la Januari 24, mwaka huu, Polisi inamshikilia fundi cherehani huyo ambaye...
Share:

MAGAZETI YA LEO TZ NA NJE JAN 27.

...
Share:

Watu 14 akiwamo Mchina wafukiwa mgodini Geita

Watu 14 akiwemo Mchina, wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa katika mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya RZ Union Mining Ltd uliopo Kata ya Nyarugusu mkoani Geita. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Ezekiel Kyunga jana alisema watu hao wamefukiwa chini ya mgodi baada ya mlango wa kuingilia kwenye shimo la mgodi...
Share:

Tanzania na Malawi Kukutana Kujadili Sakata la Watanzania 8 Waliokamatwa

Tume  ya Ushirikiano wa Pamoja ya Kudumu (JPCC) kati ya Tanzania na Malawi, inatarajia kukutana nchini humo kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali, ikiwemo la Watanzania nane kukamatwa nchini humo kwa tuhuma za kuingia eneo la migodini bila kuwa...
Share:

Mkuu wa Wilaya ajiuzulu, amwandikia barua Rais Dkt Magufuli

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Uyui Bw.Gabriel Mnyele akizungumza na Mwandishi wa habari wa Azam tv Juma Kapipi wakati akiwa ofisi za CCM Wilaya ya Uyui ikielezwa kuwa alikuwa ameitwa na Uongozi wa chama hicho kufuatia kuwepo kwa taarifa kwamba ameamua kuachia ngazi nafasi ya Ukuu wa wilaya hiyo...
Share:

Thursday, 26 January 2017

AUDIO | Linex Sunday Mjeda - Kiherehere | Download

DOWNLOAD...
Share:

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JANUARY 26 2017

...
Share:

Wednesday, 25 January 2017

Magazeti ya Leo Jumatano ya January 25 2017

...
Share:

NACTE:ORODHA YA VYUO VILIVYO RUHUSIWA KUDAHIRI WANAFUNZI KWA KIPINDI CHA MARCH / APRIL, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016 / 2017

  BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) ORODHA YA VYUO VILIVYO RUHUSIWA KUDAHILI WANAFUNZI KWA KIPINDI CHA MARCH/APRIL, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017 BOFYA HAPA KUPATA ORODHA HIY...
Share:

NACTE YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA WANAFUNZI WANAOTAKA KUJIUNGA NA VYUO VYA AFYA,UALIMU,MIFUGO,KILIMO ETC NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA MWAKA WA MASOMO 2016/2017 -MARCH /APRIL INTAKE

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) TAARIFA KWA UMMA KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA PAMOJA WA UDAHILI KWA KIPINDI CHA MACHI/APRILI, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017  Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), linapenda kuutangazia Umma na wadau wote wa Elimu nchini, kuwa mfumo...
Share:

Tuesday, 24 January 2017

MSHINDI WA UBUNGE DIMANI AHAIDI KUWA DARAJA

...
Share:

TCRA YATAHADHARISHA MATAPELI WA NJIA YA SIMU

...
Share:

WANASIASA WANAOENEZA TAARIFA ZA UONGO KUHUSU NJAA KUKAMATWA

Naibu  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni ameonya kuwa watu wakiwemo wanasiasa wanaoeneza taarifa za uongo za kuwepo kwa baa la njaa, ni kosa na wachukuliwe hatua ikiwemo kukamatwa. Masauni amesema bado kuna watu wanajichukulia mamlaka ambayo sio yao na kueneza uongo kuwa...
Share:

WALIMU WATATU WAKAMATWA KWA KUPIGA DILI LA KUPOKEA MISHAHARA PRIVATE NA SERKALINI

Walimu watatu mkoani Mwanza wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la  kukimbia vituo vyao vya kazi na kufanya kazi shule binafsi huku wakiendelea kupokea mishahara ya serikali Taarifa ya jeshi la polisi mkoa wa Mwanza imewataja walimu hao waliokamatwa jana asubuhi katika mtaa...
Share:

MAJAMBAZI WAWILI 2 WAUAWA JIJINI MWANZA

Watu wawili waliokuwa wakituhumiwa kwa ujambazi wameuawa wakati wakitaka kujaribu kuwatoroka askari polisi wilayani Ilemela mkoani Mwanza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza amesema kwamba tukio hilo lilitokea  tarehe 20.01.2016 majira ya saa 2:30  usiku, katika mtaa wa kiloleli “A”...
Share:

WARAKA WA ZITTO KABWE KUHUSU UCHAGUZI WA MARUDIO

...
Share:

TUNDU LISSU AFUNGUKA KUHUSU UPINZANI KUBURUZWA NA CCM UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO

...
Share:

KAULI YA MTATAIRO BAADA YA UPINZANI KUANGUKIA PUA UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO

...
Share:

KAULI YA RAIS MAGUFULI BAADA YA CCM KUSHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO

...
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMANNE JANUARY TAREHE 24.1.2017

...
Share:

Monday, 23 January 2017

Bulembo amtaka Lowassa Aachane na Siasa

...
Share:

Hatimaye Jecha Afunguka Kuhusu Kufuta Uchaguzi Zanzibar...

...
Share:

Bibi Akutwa amekufa Huku akiwa na vibuyu 5 na kuku mweupe

Bibi  mwenye umri wa miaka 60 amekutwa amekufa mkoani Tabora huku amevaa nguo nyeusi aina ya kaniki, akiwa na vibuyu vitano na kuku mweupe, katika mazingira yanayoashiria kushiriki vitendo vya kishirikina. Aidha, mwili wa mtu mwingine umekutwa pembeni ya mti aliokuwa akichimba dawa. Taarifa ...
Share:

Rais wa Uturuki Awasili Nchini Kwa Ziara ya Kikazi

RAIS wa Uturuki Mheshimiwa Recep Erdogan amewasili nchini jana jioni (Jumapili, Januari 22, 2017) kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na niaba ya Mheshimiwa Rais. Dkt. John Magufuli. Rais ...
Share:

Zitto Kabwe Asakwa na Jeshi la Polisi kwa Uchochezi,ACT Wazalendo Wadai Yuko Salama, Wataka Polisi Wafuate Utaratibu

...
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARY TAREHE 23.1.2017

...
Share:

Sunday, 22 January 2017

MH RAIS MAGUFULI AMTEUA ANNE KILANGO MALECELA KUWA MBUNGE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,  tarehe 21 Januari, 2017 amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Anne Kilango Malecela ataapishwa kwa mujibu wa taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Gerson MsigwaMkurugenzi...
Share:

Saturday, 21 January 2017

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JANUARY TAREHE 21.1.2017

...
Share:

Friday, 20 January 2017

Donald Trump Kukabidhiwa Leo IKULU Ya Marekani

Mshindi wa uchaguzi mkuu wa mwezi Novemba Donald Trump leo anatarajiwa kuapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani. Bw Trump wa Chama cha Republican anatarajiwa kuapishwa mbele ya watu 750,000 mbele ya majengo makuu ya bunge la Marekani, Capitol Building, Washington D.C. Kisheria, rais anafaa...
Share:

TAARIFA KWA UMMA: MAOMBI YA NAFASI 1000 ZA MAFUNZO YA STADI ZA KUTENGENEZA VIATU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU ...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger