July 9 2016 Moto umetokea kwenye Baadhi ya mabweni katika chuo cha
Ushirika Moshi (MUCCOBS), moto ambao ulitokea katika chumba kimoja cha
bweni katika chuo hicho, na kufanikiwa kuzimwa baada ya masaa manne
tokakutoke kwa moto huo.
Hata hivyo moto huo haujaweza kumdhuru Mwanafunzi yeyote katika chuo hicho, na pia chanzo cha moto bado hakijajulikna mpaka sasa
0 comments:
Post a Comment