Thursday 2 April 2015

NEWS:"APPLICATION ZA VYUO VYA AFYA-DIPLOMA&CERTIFICATE 2015/2016,DEADLINE IS 18TH JULY 2015"APPLY NOW

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                               Tokeo la picha la NGAO YA TANANZNIA
OPENING OF CAS FOR HEALTH PROGRAMS 2015/2016
PUBLIC NOTICE
OPENING OF THE CENTRAL ADMISSION SYSTEM
 (CAS) FOR NEW APPLICANTS INTO DIPLOMA AND 
CERTIFICATE IN HEALTH PROGRAMMES

The National Council for Technical Education (NACTE) in
 collaboration with the Ministry of Health and Social Welfare 
would like to inform the public that Central Admission System 
(CAS) is now open for new applicants into
Health Training
 Institutions for academic year 2015/2016.
Minimum Entry Requirements:
  1. Ordinary Diploma: Physics/Engineering Science – D,
  2.  Chemistry – C, Biology – C in O’level.
  3. Technician Certificate: Physics/Engineering Science – D,
  4.  Chemistry – D, Biology – D in O’level.
  5. Upgrading/Higher/Advanced Diploma: Biology –
  6.  D in O’level, work experience of two (2) years and above, 
  7. passport size picture, Technician Certificate or Ordinary
  8.  Diploma Certificate and Transcript in the field aspired and 
  9. a letter of permission from employer. Nursing applicants 
  10. should attach a copy of their license to practice.

NOTE:
All applications should be done online through 
Central Admission System and the deadline for applications will
 be on 18th July, 2015.
Executive Secretary
NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION

TANGAZO
KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA MAOMBI KWA 
NJIA YA MTANDAO KWA STASHAHADA NA ASTASHAHADA ZA AFYA
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi likishirikiana  na Wizara ya
 Afya na Ustawi wa Jamii linataarifu umma kuwa mfumo wa 
maombi kwa njia ya mtandao uko wazi kwa waombaji wapya
 kwenye vyuo vya afya kwa mwaka wa masomo 2015/2016.
Sifa za kujiunga:
  1. Stashahada:  Ufaulu wa Fizikia/Sayansi ya Uhandisi – D, Kemia – C, Baiolojia – C kwenye mtihani wa kidato cha IV

  1. Astashahada: Ufaulu wa Fizikia/Sayansi ya Uhandisi – D, Kemia – D, Baiolojia – D kwenye mtihani wa kidato cha IV

  1. Stashahada ya Juu na mafunzo ya kujiendeleza:
  2.  Ufaulu wa Baiolojia – D kwenye mtihani wa kidato cha IV,
  3.  mfanyakazi kwa zaidi ya miaka miwili, picha, na cheti 
  4. na nakala ya matokeo ya astashahada au stashahada pamoja
  5.  na barua ya mwajiri. Waombaji wa masomo ya Uuguzi
  6.  waambatanishe leseni ya Uuguzi.

ANGALIZO:
Maombi yote yanatakiwa kufanyika kwa njia ya mtandao
 kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili na mwisho wa maombi ni 
tarehe 18 Julai 2015.

Katibu Mtendaji
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger