Monday 13 April 2015

Gwajima:Nitaendelea Kuwapa VIDONGE vyenu Kila Mtakapo potoka, Nafanya kazi ya Bwana, Mbona Wengine Wakitoa Misimamo yao Hamuwafuati?

...

Madaktari, wanasiasa, wafanyabiashara wamekuwa wakitoa misimamo yao lakini hawabughudhiwi iweje Gwajima tu? Nitaendelea kuwapa vidonge vyenu kila mtakapopotoka, nafanya kazi ya bwana,” alisema Gwajima

Kuhusu utajiri wake pia Gwajima amesema anashangazwa na vyombo vya Serikali vinavyohoji utajiri alionao bila kujua anaongoza idadi gani ya waumini. Alisema anaongoza kanisa lenye waumini zaidi ya 70,000 ambao akiwaomba kila mmoja ampe Sh1,000 tu atakuwa na Sh70 milioni, na kama wakiamua kutoa elfu 10, 000 basi atakuwa na milioni 700.

Nini mtazamo wako katika hili? Na unapenda mwambia nini Gwajima?
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger