INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Dar es salaam, Tanzania
NI SHANGWE! Kama kawaida bendi
yako kongwe ya Muziki nchini Tanzania, Abajalo itakuwa katika Hoteli ya
Johannesburg iliyopo Sinza Mori kwa ajili ya kukuburudisha katika usiku
wa Iddi Mosi.