Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa Kesho Jumatatu Oktoba 05, 2020 atazungumza na Wazee wa Zanzibar Kutoka Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Kuanzia Saa 8 Mchana ili Kutoa mwenendo wa Kampeni za CCM. Si ya Kukosa wala ya Kutaka Usimuliwe. #T2020JPM #Mwinyi2020
0 comments:
Post a Comment