Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Vunjo amemtangaza Dkt. Charles Kimei wa Chama cha Mapinduzi-CCM kuwa mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo baada ya kupata kura 40,170 – Grace Kiwelu wa CHADEMA amepata kura 8,675, James Mbatia wa NCCR amepata kura 4, 949 na Agustino Mrema kutoka TLP kura 606
Friday, 30 October 2020
James Mbatia Aangushwa Ubunge Vunjo, Kimei wa CCM Ashinda
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Vunjo amemtangaza Dkt. Charles Kimei wa Chama cha Mapinduzi-CCM kuwa mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo baada ya kupata kura 40,170 – Grace Kiwelu wa CHADEMA amepata kura 8,675, James Mbatia wa NCCR amepata kura 4, 949 na Agustino Mrema kutoka TLP kura 606
0 comments:
Post a Comment